Friday, 15 February 2013

NAWATAKIENI MTIHANI MWEMA

ndugu zangu wana hesabu nawaombea kwa MUNGU BABA wa mbinguni awalinde na mabaya yote katika kipindi hiki cha mitihani (UE) MUNGU awe pamoja nanyi daima AMENI soma mithali 3:1-5. BY MWAKALILA JOSHUA

No comments:

Post a Comment