Ngoja niwape hii.
katika pitapita zangu mitaa ya kutolea copy, nikasikia jamaa mmoja akisema "nasikia mama MBOYA amesema wale wote watakaokosa swali la jina la blog yao atawakerisha kozi." roho kidogo ikasita nikajiuliza wako wangapi watakaopona katika hilo
1 comment:
MBONA MTOA MADA HAJAANDIKA JINA?UNAOGOPA KUITWA KUTOA USHAHIDI?AU UNAOGOPA KUBEBA KOZI?
Post a Comment