Sunday, 3 February 2013

ON SUNDAY!

YOHANE MTAKATIFU 15:5-7 ,Mimi ndimi mzabibu;nyinyi ni matawi;akaaye ndani yangu nami hukaa ndani yake,huzaa sana;maana pasipo mimi ninyi hamuwezi kufanya neno lolote.Mtu asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi na kunyauka;watu huyakusanya na kutupa motoni yakateketea.Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu,ombeni mtakalo lolote nanyi mtapewa!                                           Tafakari na utende hivyo kama maneno yasemavyo, jumapili njema ya bwana!!!!!! By Ponera January.                                                                                                                        

2 comments:

Mathematics Teku said...

Kumbe na ww wa ukweli..... inapendeza sana endelea kusoma neno la uzima.
Banzi O

Unknown said...

BIBLIA YAKO TAFSIRI MPYA?

Post a Comment