Friday, 15 February 2013

POLENI SANA

Poleni sana kwa alama mlizopata katika majaribio mbalimbli,ila tuzidi kuwa na mshikamano uleule ili tuweze kufanikiwa kama siku zote kwenye masomo na mambo mengine.

by joshua jasson

1 comment:

Mathematics Teku said...

Tunashukuru kwakutupa moyo tushikamane tutatoka tu ....mungu atutangulie wote katika masomo yetu Mandalizi mema UE......By Habonga Jopha

Post a Comment