Ndugu zangu kwa kweli maisha ya muhula huu yanataka kuishia vibaya.Hii mitihani imekuja kwa staili yake,maana mpaka muda una kwisha kwenye chumba cha mtihani,watu hawajamaliza mtihani.Kuna haja ya kuendelea kumkumbuka MUNGU.
Tusali
BABA KATIKA JINA LA YESU TUNAKUJA TENA MBELE ZAKO,TAZAMA JINSI TULIVYOFANYA MITIHANI ILIYOPITA UKAIFUNIKE NA DAMU YA YESU,BABA TUNAKUOMBA UTUONGOZE KATIKA KUSOMA KWETU KWA AJILI YA MITIHANI INAYOFUATA.UTUJALIE AFYA NJEMA NA UWEZO WA KUKUMBUKA KATIKA CHUMBA CHA MTIHANI..TUNAOMBA HAYA YOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI.SEMA AMENI.
BY JOSHUA JASSON
3 comments:
funika na usaihishaji kwa damu ya yesu.amen
funika na usaihishaji kwa damu ya yesu.amen
funika na usaihishaji kwa damu ya yesu.amen
Post a Comment