Wednesday, 13 February 2013
TAKE YOUR TEST PAPER ONLY!
Avoid the following please: Naomba kila mtu achukue test yake tafadhari!, usichukue test ya mwenzako bila kumwambia,hivyo unasababisha usumbufu usio wa lazima kwangu.Watu wanapiga simu muda wote wakitaka test zao na mie sina! Jambo hili linaweza kusababisha mtu akakosa kufanya UE kwasababu mtu anaweza akasema test yangu wamenichukulia kumbe mwl hajaiona kabisa!, wengine mnaandika namba za wenzenu kwenye test na wengine hawajaandika kabisa majina yao, kunakasheshe kubwa! hivyo ambatana nami usimeze hadi namba za mtihani tutaumbuka watu wa hesabu.Na kama unajua una test ya mtu na hujampa mwenyewe jiulize sana why this and not that!,Take this as note to you! Its me PONERA JANUARY.
3 comments:
UMESOMEKA MKUU WA KAYA!!!
"...wengine mnaandika namba za wenzenu
kwenye test na wengine hawajaandika kabisa
majina yao, kunakasheshe kubwa! hivyo
ambatana nami usimeze hadi namba za mtihani
tutaumbuka watu wa hesabu..."
(MKUU WA KAYA YAPO HAYO CHUO KIKUU?)
sawa mzazi nimekuelewa, ila hiyo kiboko.
by joshua jasson
Post a Comment