Sunday, 10 February 2013

UE Calculators Down Cake

Mathematicians at TEKU,  you are all invited to the UE Calculators Down Cake which will commence at Mkulu Hotel 28/02/2013 from 1900hrs. 
Entrance fee: Tsh.5000/= Come with an invitee.
 Bonge la keki ndugu, itakuwa full shangwe baada kumaliza pepaaaaaaaaaaaa!!!!.
dont Plan to miss guys.
So far so Good
Hii siyo ya kukosa kabisa!, usikubali kusimuliwa. Itakuwa tamu hiyo!!
Gideon Eustace Butam.
Event Manager
+255768540540

3 comments:

Mathematics Teku said...

umetisha kaka, bonge la cake!!
its me Mam

Unknown said...

tunatuma cash kwa njia gani?

Mathematics Teku said...

Its ok, lets go there guys but dont come with wajukuuz.
its Babu

Post a Comment